Dadi achana na mami
Vita ni vya nini
Hakuna amani
Mami pendana na dadi
Amekosea sawa
Hakuna msamaha
Sikujui
sikutambui
Wewe
ni nani, Jitambulishe
Mpenzi
wa mami, baba yangu
Hatupigi,
si desturi yake
Maneno
hayo, uyasemayo
Hayafai
na mchungaji
Tupe
muda tujipumzishe
Mafichoni
chini ya kitanda
Twatafuta
upendo usiopo
Pahali
pa busu, nusura kifo
Majirani
hamtusikii
Kumejaa
dhiki, baba mnafiki
Tumbo
njaa, ngumi shibe
Askari
okoa, njooni mumshike
Haya
tosha, hatutaki tena
Kila
mmoja paa, tujikimbize
Sitaki
kusema kwaheri
Sitaki
kukubali imeisha kati yetu
Sitaki
kusema, sitaki kukuona
Nataka
kusema, see you kesho
Sitaki
ku-let go
Siko
tayari kuku-lose natamani kuwa karibu nawe, nawe….
No comments:
Post a Comment